LYRICS: Exray Taniua – Sipangwingwi Ft. Trio Mio & Ssaru

Sipangwingwi Ft. Trio Mio & Ssaru

Exray Taniua Sipangwingwi Ft. Trio Mio & Ssaru Lyrics Download

Exray Taniua Sipangwingwi Download Lyrics. Read and sing along the lyrics to Exray Taniua’s most trending song Sipangwingwi.

Sipangwingwi Lyrics. Stream, Listen and Download Below.

Mp3 Music Download: Exray Taniua – Sipangwingwi Ft. Trio Mio & Ssaru

Sipangwingwi Lyrics

Maisha ni yangu, we shughulika na yako
Napenda za kwangu, we shughulika na kwako
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi

Unataka mtu simple humble, rich young
Ndo upeane namba
Unataka mtu mdark, mlight mtall
Beb tafuta wababaz

Unaplan future yetu kumbe uko alone
Maisha ni safari mi na ride along
Labda mi niomoke nikuitage form
Ama labda we uomoke nikujage home

Mi nayo pombe siwezi onja
Aiii nakunywa yote
Na akiamua kukupatia
Aiii chukua yote

Maisha ni yangu, we shughulika na yako
Napenda za kwangu, we shughulika na kwako
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi

[Trio Mio]
Mi sipangwingwi, kijana ni gwiji
Utapangaje morio ana kashilingi kwa wingi
Mafeelings za nini mi ni jangili kamili
Nasuka mamdenge za matajiri wa mjini

Samahan..
Chai fupi nmejaza maziwa na majan
Sikusuki mi ni Trio Mio watagwan
Ka hunijui unajifanya bombo haja gan
Abiria nawapanga ka makanga wa Kasaran

Ama vijiti za viberiti ndani ya boxdem
Wanga stishiki naget mabinti nawachokdem
Washa ngwariti tuskie fiti adi shokdem
Cheza na mangoksdem

Maisha ni yangu, we shughulika na yako
Napenda za kwangu, we shughulika na kwako
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi

[Ssaru]
Ah mi sitambui mbui, mi mchana buibui
Nikiwa mababi mahali leta maruirui
Na niko na mashoga kibao nataka madui dui
Sitaki kifisi niko bongo nasaka chui chui

Ukitaka mizuka, mimi ndo hooker
Tena nagwara nikidara nina vikucha
Hiki kichupa shika na kupa
Na wanapenda ukipapia baba pupa

Naishi nitakavyo ondoa vikwazo
Ukiona najidai jua kujikopa ndo chanzo
Nikishika ngiri natesa na majigambo
Ju naona siku hizi ganji mnasafisha kwa mitambo

Maisha ni yangu, we shughulika na yako
Napenda za kwangu, we shughulika na kwako
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi