LYRICS: Leyla – Wimbo Wa Historia

LYRICS: Leyla - Wimbo Wa Historia

Leyla Wimbo Wa Historia Lyrics

Leyla Wimbo Wa Historia Lyrics. Learn the Lyrics to the music vibe Wimbo Wa Historia Lyric by Leyla.

“Wimbo Wa Historia Lyrics”

wimbo huu uliimbwa historia
watu wote mnaombwa msikize kwa makini
ilikua october hamsini na mbili
watu wote tulisikia kenyatta ameshikwa
hakushikwa kenyatta pekee yake lakini
alishikwa na mabingwa wa uhuru
(woo woo wooooo)
ilikua kilio nchini kenya
watu wote tuliona huzuni mwingi sana
wakina baba akina mama na watoto
wote walilia machozi wakisema
woooi woooooi
wooi tunataka kenyatta aachiliwe
baba wa taifa alipotoka gerezani
aliwakuta wajumbe wetu wametengana vibaya sana
aliongoza wajumbe mpaka ulaya
kufika huko alipigwa na mayai yaliyooza
mzee wetu hakujali alishinda
na kurudi na katiba ya nchi yetu hapa kenya
mzee wetu alituomba tusahau yaliyopita
badala yake tuijenge nchi yetu
ooh asante baba wetu
wengi wee asante baba wetu

SEE ALSO:  Ibraah – Sawa
//unbeedrillom.com/4/3490212